Eneo la duara, r ikiwa kwenye Y
Tunahesabu eneo la duara lenye nusu kipenyo cha sentimita 3. Andika 3, bonyeza
na
: 3.. Bonyeza
, kisha
,
, kisha
, na
. Kitufe cha hakihitajiki kati ya vitufe viwili vilivyotajwa. Eneo ni sentimita za mraba 28.27433388.