Kuandika tarakimu za heksa
Katika hali ya heksadesimali, tarakimu A hadi F huandikwa kwa vitufe vyenye herufi za kijani-bluu, bila kubonyeza ALPHA.
ni kitufe cha ,
ni kitufe cha mzizi wa mraba,
ni kitufe cha ,
ni kitufe cha ,
ni kitufe cha log, na
ni kitufe cha ln. Skrini huzionyesha kama A, b, C, d, E na F.